Chiba, Chiba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Chiba | |||
|
|||
| Nchi | Japani | ||
|---|---|---|---|
| Kanda | Kantō | ||
| Mkoa | Chiba | ||
| Idadi ya wakazi | |||
| - Mji | 961,544 | ||
| Tovuti: www.city.chiba.chiba.jp | |||
Chiba (千葉市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Chiba. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 960,000 wanaoishi katika mji huu.
Viungo vya nje [hariri]
- Tovuti rasmi: Kijapani, Kiingereza na Kikorea
- Chiba Japan Information Site
| Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Chiba, Chiba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |