Cherish

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cherish
Asili yake Atlanta, Georgia, Marekani
Aina ya muziki R&B, pop, dance-pop, hip hop
Miaka ya kazi 2003–hadi leo
Studio Capitol, Sho'nuff
Ame/Wameshirikiana na Jazze Pha, Da Brat
Tovuti www.cherishsisters.com
Wanachama wa sasa
Farrah King
Fallon King
Felisha King
Neosha King

Cherish ni kundi la muziki wa R&B, pop, na hip hop kutoka nchini Marekani. Kundi linakusanya ndugu wanne wa kike ambao ni Farrah King (amezaliwa 17 Februari 1984), Neosha King (amezaliwa 26 Januari 1986), na wengine mapacha ni Felisha na Fallon King (waliozaliwa 5 Juni 1987). Ndugu hawa wanne wote kiasili wanatokea mjini Illinois, lakini baadaye walihamia mjini Atlanta kwa kwenda kujiendeleza kimuziki zaidi. Kundi lime saini mkataba na studi ya Capitol Records na Sho'nuff Records.

Shughuli za muziki[hariri | hariri chanzo]

Muziki[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Maelezo Nafasi iliyoshika Mauzo na matunukio
U.S. U.S. R&B UK JAP
2003 The Moment
  • Albamu ya kwanza/ Haija tolewa
  • Imetolewa: h/n
  • Mauzo ya U.S.: h/n
  • Mauzo ya U.K.: h/n
  • Mauzo ya dunia nzima: h/n
2006 Unappreciated 4 4 80 20
  • U.S. sales: 537,487
  • Mauzo ya U.K.: 30,000
  • Mauzo ya dunia nzima: 640,000
2008 The Truth 40 6 91

Single[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Wimbo U.S. U.S. R&B U.S. pop UK NZ JAP Albamu
2003 "In Love wit Chu" (wamefanya na Da Brat) 44 32 29 11 The Moment
"Miss P." (wakimshirikisha Da Brat) 87
2006 "Do It to It" (wakimshirikisha Sean Paul wa YoungBloodZ) 12 10 9 30 3 10 Unappreciated
"Unappreciated" 41 14 65 187 38
2007 "Killa" (wakimshirikisha Yung Joc) 39 53 23 52 18 45 The Truth
2008 "Amnesia" 61

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cherish kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.