Chaozhou
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Chaozhou | |||
|
|||
| Nchi | China | ||
|---|---|---|---|
| Jimbo | Guangdong | ||
| Idadi ya wakazi | |||
| - Mji | 2,470,000 | ||
| Tovuti: www.chaozhou.gov.cn | |||
Chaozhou (潮州市) ni mji wa China katika jimbo la Guangdong. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2002, mji una wakazi wapatao milioni 2.5 wanaoishi katika mji huu.
| Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Chaozhou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |