Chandrasekhara Raman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Chandrasekhara Raman

Chandrasekhara Venkata Raman (7 Novemba, 188821 Novemba, 1970) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uhindi. Hasa alichunguza mambo ya mwanga na jinsi unavyosambazwa kupitia vitu mbalimbali. Mwaka wa 1930 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chandrasekhara Raman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine