Chambarak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Chambarak

Chambarak (Kiarmenia: Ճամբարակ pia unaitwa kwa Kirumi kama Jambarak; mpaka 1920 Mikhaylovka, kuanzia 1920-1972, Karmir Gyugh, kuanzia 1972-1991, Krasnoye, Krasnosel’sk, Krasnosyelsk, and Kraside) ni mji ulipo kwenye Mkoa wa Gegharkunik huko nchini Armenia. Mji wa Chambarak ulianzishwa mnamo mwaka wa 1835-40 na wahamiaji wa Kirusi, ukiwa na jina la Mikhaylovka. Karmir Gyugh na Krasnosyelsk yote inamaana ya "Kijiji Chekundu" kwa Kiarmenia na Kirusi, kwa pamoja.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chambarak kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.