Chadli Bendjedid
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chadli Bendjedid (amezaliwa 14 Aprili, 1929) alikuwa Rais wa nchi ya Algeria kuanzia 9 Februari, 1979 hadi 11 Januari, 1992. Alifuatwa na Mohamed Boudiaf.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chadli Bendjedid kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |