Carlos Saavedra Lamas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Carlos Saavedra Lamas

Carlos Saavedra Lamas (1 Novemba, 18785 Mei, 1959) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya Argentina. Alikuwa Waziri ya Mambo ya Nje kuanzia 1932 hadi 1938. Wakati ule alisaidia kukomesha Vita ya Chako. Mwaka wa 1936 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.


Administradors.gif Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carlos Saavedra Lamas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine