Darryl Hill ni msaii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Cappadonna.
Amepata kuwa mwanachama wa kundi la Wu-Tang Clan baada ya kufa kwa Ol' Dirty Bastard, na akaonekana kwenye albamu zao kabla ya uanachama wake, vilevile kuwa na mafanikio makubwa akiwa kama msanii wa kujitegemea. Mnamo mwaka wa 2007 kabla ya kutolewa kwa 8 Diagrams, akapata kuwa mwanachama rasmi wa kundi zima la Wu-Tang Clan na RZA mwenyewe.[1]
Diskografia [hariri]
Albamu zake [hariri]
Single na Ma-EP [hariri]
- 1996 Don't Be a Menace soundtrack - track "Winter Warz"
- 1998 "Slang Editorial"
- 1998 "Run"
- 1999 "Black Boy"
- 2001 "Super Model"
- 2007 "Don't Turn Around"
- 2009 "Somebody's Got To Go"
Viungo vya Nje [hariri]
|
Cappadonna
|
|
| Studio albums |
|
|
| Compilation albums |
|
|
| Related articles |
|
|
|
|
|
|
|
|
| Studio albamu |
|
|
| Single |
|
|
| Kompilesheni |
|
|
| Makala zinazohusiana |
|
|
 |
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cappadonna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |