Calif Records
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|
This article's tone or style may not reflect the formal tone used on Wikipedia. Specific concerns may be found on the talk page. See Wikipedia's guide to writing better articles for suggestions. (Aprili 2008) |
|
|
Makala hii, au sehemu za makala hii, inahitaji vyanzo au au marejeo yoyote. Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuweka vyanzo vya kuaminika. Habari zizizowekewa vyanzo kuna uwezekano wa kuwekewa vikwazo na kuondolewa. (Mei 2007) |
| Calif Records |
|---|
Calif Records ni studio Kenya yenye makao yake katika mtaa wa California mjini Nairobi. Inajulikana kuwa msingi wa Genge, aina ya muziki iliyopendwa na vijana. Ilianzishwa mwaka 2000 na mtendaji wa rekodi & mtayarishaji Clement "clemo" rapudo pamoja na rafiki yake wa utotoni Paul Nunda anayejulikana kama Juacali (kwa sasa ni msanii maarufu Kenya). Ni kati ya studio mbili za muziki zinazoongoza nchini Kenya, hiyo nyingine ikiwa Ogopa Djs.[1]
Orodha ya wasanii [hariri]
Orodha ya wasanii ambao wamejisajili katika Calif Records kwa wasifu wa muziki yao
Marejeo [hariri]
- ↑ Daily Nation, Buzz Magazine, 20 Julai 2008: Calif v / s Ogopa