Calgary
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Calgary, Alberta)
| Jiji la Calgary | |
| Mahali pa mji wa Calgary katika Alberta | |
| Coordinates: 51°02′42″N 114°03′26″W / Expression error: Unexpected < operator Expression error: Unexpected < operator | |
| Nchi | Kanada |
|---|---|
| Jimbo | Alberta |
| Kitongoji | Calgary |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 1,042,892 |
| Website: www.calgary.ca | |
Calgary ndiyo mji mkuu katika jimbo wa Alberta. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1.2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 1048 kutoka juu ya usawa wa bahari.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Calgary kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |