Bwabwaja
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Bwabwaja | ||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
|
||||||||||
| Ngazi za chini | ||||||||||
|
Jenasi 2: |
Bwabwaja au manja ni ndege wa jenasi Glareola na Stiltia katika familia ya Glareolidae. Umbo na mwenendo yao inafanana na mbayuwayu. Wana mabawa marefu yaliyochongoka, miguu mifupi na mkia mwenye panda. Hukamata wadudu wakipuruka na hutaga mayai yao chini.
Spishi za Afrika [hariri]
- Glareola cinerea, Bwabwaja Kijivu (Grey Pratincole)
- Glareola nordmanni, Bwabwaja Mabawa-meusi (Black-winged Pratincole)
- Glareola nuchalis, Bwabwaja Ukosi-mweupe (Rock Pratincole)
- Glareola ocularis, Bwabwaja wa Madagaska (Madagascar Pratincole)
- Glareola pratincola, Bwabwaja Koo-njano (Collared Pratincole)
Spishi za mabara mengine [hariri]
- Glareola lactea (Little Pratincole)
- Glareola maldivarum (Oriental Pratincole)
- Stiltia isabella (Australian Pratincole)