Buru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Alghero_-_Torre_del_Buru.

Buru ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini-magharibi wa visiwa vya Maluku.

Eneo la kisiwa ni km² 9505.

Miji mikubwa kabisa kisiwani ni Namlea na Namrole.

Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani ilihesabiwa kuwa 161,828. Watu wakaao kisiwani kwa Buru huongea lugha za Kiburu, Kilisela na Kiambelau.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Buru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.