Bundi-panga
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Bundi-panga | ||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Bundi-panga ni ndege mbua wa jenasi mbalimbali za nusufamilia Surniinae katika familia Strigidae. Wengi baina ya ndege hawa wana ukubwa wa bundi, lakini wengine ni wadogo zaidi wengine wakubwa zaidi. Wana rangi ya kahawa au kijivu na wengi wana miraba kwa kidari kama vipanga (hii na jinsi yao ya kuwinda ni sababu za jina lao). Spishi dogo hula wadudu hasa lakini spishi kubwa huwinda wanyama, ndege na watambaazi pia. Huwinda wakati wa magharibi, usiku na alfajiri na pengine mchana. Mara nyingi wamfukuza windo lao kama kipanga. Jike huyataga mayai 2-6 katika shimo ndani ya mti.
Yaliyomo |
[hariri] Spishi za Afrika
- Mascarenotus grucheti, Bundi-panga wa Réunion (Réunion Owl) - imekwisha sasa (karne ya 17)
- Mascarenotus murivorus, Bundi-panga wa Rodrigues (Rodrigues Owl) - imekwisha sasa (kati ya karne ya 18)
- Mascarenotus sauzieri, Bundi-panga wa Morisi (Mauritius Owl) - imekwisha sasa (kati ya karne ya 19)
- Ninox superciliaris, Bundi-panga wa Madagaska (White-browed Hawk Owl)
[hariri] Spishi za mabara mengine
- Ninox affinis (Andaman Hawk Owl)
- Ninox burhani Togian Hawk-owl)
- Ninox connivens (Barking Owl)
- Ninox ios (Cinnabar Hawk Owl)
- Ninox jacquinoti (Solomon Hawk Owl)
- Ninox meeki (Manus Hawk Owl)
- Ninox natalis (Christmas Island Hawk-Owl)
- Ninox novaeseelandiae (Southern Boobook)
- Ninox n. novaeseelandiae (Morepork)
- Ninox n. undulata (Norfolk Island Morepork) – imekwisha sasa (1996)
- Ninox n. boobook (Southern Boobook)
- Ninox n. albaria (Lord Howe Island Morepork) – imekwisha sasa (miaka 1950)
- Ninox ochracea (Ochre-bellied Hawk Owl)
- Ninox odiosa (New Britain Hawk Owl)
- Ninox philippensis (Philippine Hawk Owl)
- Ninox punctulata (Speckled Hawk Owl)
- Ninox rudolfi (Sumba Boobook)
- Ninox rufa (Rufous Owl)
- Ninox scutulata (Brown Hawk Owl)
- Ninox squamipila Moluccan Hawk Owl)
- Ninox strenua (Powerful Owl)
- Ninox sumbaensis (Little Sumba Boobook)
- Ninox theomacha (Jungle Hawk Owl)
- Ninox variegata (Bismarck Hawk Owl)
- Sceloglaux albifacies (Laughing Owl) – imekwisha sasa (1914?)
- Surnia ulula (Northern Hawk Owl)
- Uroglaux dimorpha (Papuan Hawk Owl)
[hariri] Spishi za kabla ya historia
- Ninox cf. novaeseelandiae (New Caledonian Boobook, mwisho wa Quaternary) – labda inaishi bado
- Surnia capeki (Mwanzo wa Pleistocene)
- Surnia robusta (Mwisho wa Pliocene mpaka mwanzo wa Pleistocene)