Buenos Aires
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Buenos Aires, Argentina)
| Jiji la Buenos Aires | |
| Nchi | Argentina |
|---|---|
Buenos Aires (kihisp.: "upepo mzuri") ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Argentina katika Amerika Kusini mwenye wakazi 2,776,234.
Mji uko kando la Río de la Plata kwenye pwani la mashariki ya Amerika Kusini kwa 34°36′S na 58°23′W. Magharibi ya Buenos Aires zinanaza tambarare zenye rutba za pampa.
Viungo vya nje[hariri]
- Google Maps Satellite city View
- digital Buenos Aires
- Buenos Aires Travel Guide
- english.buenosaires.com - Tourism Portal
- Official Tourism Website (English, Spanish, Portuguese and guides in ten different languages including Chinese, Japanese, French, German, Italian, etc.)
Tovuti za magazeti ya Bienos Aires[hariri]
- (Kiingereza) The Buenos Aires Herald
- La Nación
- Infobae
- La Prensa
- Clarín
| Makala hii kuhusu maeneo ya Argentina bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Buenos Aires kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |