Bruce Joel Rubin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Bruce Joel Rubin (amezaliwa tar. 10 Machi, 1943, mjini Detroit, Michigan) ni mwandishi-skirini anayejulikana sana kwa kuandikia filamu ya mahaba na miujiza ya Ghost ambayo ilishinda tuzo ya Oscar 1991 kwa ajili ya Uandikishi Bora Skrini.

[hariri] Viungo vya Nje

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine