Brian Eno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Brian Eno, 2006

Brian Eno (amezaliwa 15 Mei, 1948) ni mwanamuziki wa Uingereza. Jina lake la kuzaliwa ni Brian Peter George St. John le Baptiste de la Salle Eno. Alizaliwa huko Woodbridge, Uingereza. Anapiga muziki wa Rock and Ambient.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brian Eno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine