Branislav Ivanović

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ivanović mwaka 2018

Branislav Ivanović (amezaliwa 22 Februari 1984) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Serbia. Yeye ni kapteni wa timu ya taifa ya Serbia.

Tangu mwaka wa 2008 anachezea kilabu cha Chelsea cha Uingereza.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Branislav Ivanović kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.