Boyz n the Hood

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Boyz n the Hood
Boyz n the hood poster.jpg
Imeongozwa na John Singleton
Imetayarishwa na Stephen Nicolaides
Imetungwa na John Singleton
Nyota Cuba Gooding, Jr.
Ice Cube
Laurence Fishburne
Morris Chestnut
Muziki na Stanley Clarke
Imehaririwa na Bruce Cannon
Imesambazwa na Columbia Pictures
Imetolewa tar. July 12, 1991
Ina muda wa dk. 127
Nchi Marekani
Bajeti ya filamu $6,500,000[1]
Mapato yote ya filamu $57,504,069[2]

Boyz n the Hood ni filamu ya mwaka wa 1991, ambayo imetungwa na kuongozwa na John Singleton. Kwenye filamu anacheza nyota Ice Cube, Cuba Gooding, Jr., Morris Chestnut, Nia Long, Angela Bassett, Regina King, na Laurence Fishburne. Filamu inaenelezea maisha ya kimaskini ya South Central (sasa hivi South) Los Angeles, California, na ilitengenezwa na kutolewa wakati wa majira ya joto ya mwaka wa 1991. Ilipata kushindanishwa kote kwenye "Mwongozaji Bora" na "Mchezo Bora" wakati wa ugawaji wa Tuzo za Academy mnamo mwaka wa 1991, na kumfanya Singleton mtu mdogo sana ambaye amepata kushindanishwa akiwa kama Mwongozaji na Mwafrika-Mwamerika wa kwanza kuchaguliwa kuwa kama Mwongozaji bora kwenye tuzo hizo.

Filamu ilipigiwa katika sehemu ya Un Certain Regard wakati wa Tamasha la Filamu la Cannes la 1991.[3]

[hariri] Washiriki

[hariri] Marejeo

  1. Boyz n the Hood (1991). Box Office Mojo.
  2. Boyz n the Hood (1990). Box Office Mojo.
  3. Festival de Cannes: Boyz n the Hood. festival-cannes.com. Rudishwa juu ya 2009-08-09.

[hariri] Viungo vya nje

Video-x-generic.svg Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Boyz n the Hood kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine