Botania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Botanist)
Jamii ya mimea kwenye milima ya Ruwenzori

Botania ni tawi la sayansi inyohusu utaalamu wa mimea.

Ni kitengo cha biolojia. Inachunguza maumbile ya mimea, uainishaji wao, ekolojia ya mimea, mazingira yao, mahitaji na lishe yao, namna yao za kuzaa, jinsi zinavyokaa pamoja na kutegemeana na matumizi yao katika kilimo.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Botania kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: