Bongolava

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Bongolava
Mahali paBongolava
Mahali paBongolava
Mahali pa Mkoa wa Bongolava katika Madagaska
Majiranukta: 18°46′S 46°03′E / 18.767°S 46.050°E / -18.767; 46.050
Nchi Madagaska
Wilaya 2
Mji mkuu Tsiroanomandidy
Eneo
 - Jumla 16,821 km²
Idadi ya wakazi (2004)
 - Wakazi kwa ujumla 235,000

Bongolava ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 235,000. Mji mkuu ni Tsiroanomandidy.


Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bongolava kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons



 
Mikoa ya Madagaska
Bandera ya Madagaska
Diana | Sava | Itasy | Analamanga | Vakinankaratra | Bongolava | Sofia | Boeny | Betsiboka | Melaky | Alaotra-Mangoro | Atsinanana | Analanjirofo | Amoron'i Mania | Haute Matsiatra | Vatovavy-Fitovinany | Atsimo-Atsinanana | Ihorombe | Menabe | Atsimo-Andrefana | Androy | Anosy