Bombwe (mnyama)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bombwe ni kiumbehai anayeishi kwenye maji baridi ama ya chumvi hasa sehemu za bahari zilizoingia ndani ya ardhi ambako pia kuna makutano na maji baridi.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bombwe (mnyama) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.