Binilith Satano Mahenge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Binilith Satano Mahenge (amezaliwa tar. 4 Januari 1962) ni mbunge wa jimbo la Makete katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia [hariri]

Marejeo [hariri]

  1. Mengi kuhusu Binilith Satano Mahenge (13 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.