Biharamulo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Biharamulo
Nchi Tanzania
Mkoa Kagera
Wilaya Biharamulo
Idadi ya wakazi
 - Mji 31,614

Biharamulo ni mji mdogo na makao makuu ya wilaya ya Biharamulo katika Mkoa wa Kagera (Tanzania). Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa kata ya Biharamulo ilihesabiwa kuwa 31,614 [1].

Marejeo [hariri]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Biharamulo - Mkoa wa Kagera - Tanzania
Kata zifuatazo bado ni pamoja na zile za wilaya mpya ya Chato.
Ukijua ni kata zipi zilizopelekwa Chato saidia kuhariri kigezo hiki kwa kubonyeza hapa
Flag of Tanzania.svg

Biharamulo Mjini | Bukome | Buseresere | Buziku | Bwanga | Bwera | Chato | Ichwankima | Ilemela (Biharamulo) | Kachwamba | Kalenge | Katende | Kigongo | Lusahunga | Makurugusi | Muganza (Biharamulo) | Nyabusozi | Nyakahura | Nyamigogo | Nyamirembe | Nyarubungo | Runazi


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Biharamulo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.