Benyamini (babu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Benyamini ni jina la mtoto wa kiume wa kumi na mbili wa Yakobo Israeli na babu la kabila la Israeli lililoitwa kwa jina lake mwenyewe.

Mtu maarufu zaidi wa kabila hilo ni Mtume Paulo.

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benyamini (babu) kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.