Benki Kuu ya Kenya
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Benki hii iko katika mji wa Nairobi. Gavana wa sasa wa benki ni Profesa Njuguna Ndungu ambaye alianza kazi Machi 4, 2007. Prof Ndung'u ni Profesa msaidizi wa Uchumi katika Chuo Kikuu cha Nairobi na ana PhD katika uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Göteborg, Uswidi, na vyeo vya Masters na bachelor's katika uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi. Jina la benki kwa ufupi ni "CBK".
Benki Kuu ya Kenya ilianzishwa mwaka 1966 baada ya Kufutwa kwa East Africa Currency Board (EACB).
[hariri] Angalia Pia
- Mabenki makuu na Sarafu barani Afrika
- Uchumi wa Kenya
- Orodha ya mabenki nchini Afrika
- Shilingi ya Kenya
[hariri] Viungo vya nje
- Tovuti rasmi ya Benki kuu ya Kenya
- "Kenya: Hakuna Gavana Tafadhali, Sisi ni Wakenya" habari kutoka AllAfrica, kuhusu kazi ya Gavana, mwezi Desemba 2006
|
|||||||||||
| Makala African bank or banking-related bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
| Makala about government in Kenya bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |