Bata mchovya
| Bata mchovya | ||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Mabata wachovya ni ndege wa maji wa nusufamilia Anatinae katika familia Anatidae. Spishi hizi hula mimea ya maji na huzamia kichwa chao tu; nyingine hutafuta chakula aghalabu ardhini. Miguu yao iko karibu zaidi ya katikati ya mwili kuliko miguu ya mabata wazamaji na kwa sababu hiyo wanaweza kutembea vizuri. Hutokea kwa makundi kwa maji baridi au milango ya mito. Hujenga matago yao ardhini au ndani ya shimo. Wanaweza kupuruka sana na spishi za kanda za kaskazini huhamia kusini kila majira ya baridi.
Uainisho wa Anatinae hauna hakika. Hapa jenasi kumi zimewekwa ndani ya familia ndogo hii zilizopo bado, na pia jenasi tatu zilizokwisha sasa. Visukuku vya spishi ndogo vimefunuliwa kisiwani kwa Rota (Visiwa vya Mariana) ambayo inafanana na jenasi Anas.
Spishi za Afrika [hariri]
- Aix galericulata, Bata Mdogo wa Uchina (Mandarin Duck) imewasilishwa
- Aix sponsa, Bata Mdogo wa Carolina (Carolina or Wood Duck) imewasilishwa
- Anas acuta, Bata Kipini (Northern Pintail)
- Anas bernieri, Bata wa Madagaska (Bernier's au Madagascar Teal)
- Anas capensis, Bata Kusi (Cape Teal)
- Anas clypeata, Bata Sepeto (Northern Shoveler)
- Anas crecca, Bata Mabawa-kijani (Eurasian Teal)
- Anas discors, Bata Mabawa-buluu (Blue-winged Teal)
- Anas eatoni, Bata wa Eaton (Eaton’s Pintail)
- Anas erythrorhyncha, Bata Domo-jekundu (Red-billed Teal)
- Anas hottentota, Bata Domo-buluu (Hottentot Teal)
- Anas melleri, Bata wa Meller (Meller’s Duck)
- Anas penelope, Bata Domo-kijivu (Eurasian Wigeon)
- Anas platyrhynchos, Bata wa Ulaya (Mallard) imewasilishwa
- Anas querquedula, Bata Mchirizi-mweupe (Garganey)
- Anas smithii, Bata Sepeto Kusi (Cape Shoveler)
- Anas sparsa, Bata Mweusi (African Black Duck)
- Anas strepera, Bata Kijivu (Gadwall)
- Anas theodori, Bata wa Morisi (Mauritian Duck au Mascarene Teal) imekwisha sasa (miaka 1690)
- Anas undulata, Bata Domo-njano (Yellow-billed Duck)
- Cairina moschata, Bata-kaya (Barbary or Muscovy Duck) imewasilishwa na hufugwa
- Nettapus auritus, Bata Salili (African Pygmy Goose)
- Nettapus coromandelianus, Bata Salili wa Asia (Cotton Pygmy Goose) imewasilishwa
- Pteronetta hartlaubii, Bata-msitu (Hartlaub’s Duck)
Spishi za mabara mengine [hariri]
- Amazonetta brasiliensis (Brazilian Teal)
- Anas albogularis (Andaman Teal)
- Anas americana (American Wigeon)
- Anas andium (Andean Teal)
- Anas aucklandica (Auckland Islands Teal)
- Anas bahamensis (White-cheeked Pintail)
- Anas carolinensis (Green-winged Teal)
- Anas castanea (Chestnut Teal)
- Anas chlorotis (Brown Teal)
- Anas cyanoptera (Cinnamon Teal)
- Anas diazi (Mexican Duck)
- Anas falcata (Falcated Duck)
- Anas flavirostris (Yellow-billed Teal)
- Anas formosa (Baikal Teal)
- Anas fulvigula (Mottled Duck)
- Anas georgica (Yellow-billed Pintail)
- Anas gibberifrons (Sunda Teal)
- Anas gracilis (Grey Teal)
- Anas laysanensis (Laysan Duck)
- Anas luzonica (Philippine Duck)
- Anas marecula (Amsterdam Duck) imekwisha sasa
- Anas nesiotis (Campbell Island Teal)
- Anas platalea (Red Shoveler)
- Anas poecilorhyncha (Indian Spot-billed Duck)
- Anas puna (Puna Teal)
- Anas rhynchotis (Australasian Shoveler)
- Anas rubripes (American Black Duck)
- Anas sibilatrix (Chiloe Wigeon)
- Anas superciliosa (Pacific Black Duck)
- Anas versicolor (Silver Teal)
- Anas wyvilliana (Hawaiian Duck)
- Anas zonorhyncha (Eastern Spot-billed Duck)
- Asarcornis scutulata (White-winged Duck)
- Callonetta leucophrys (Ringed Teal)
- Chelychelynechen quassus (Turtle-jawed Goose) imekwisha sasa
- Chenonetta jubata (Maned Duck)
- Lophonetta specularioides (Crested Duck)
- Nettapus pulchellus (Green Pygmy Goose)
- Ptaiochen pau (Moa-nalo) imekwisha sasa
- Salvadorina waigiuensis (Salvadori's Teal or Duck)
- Speculanas specularis (Bronze-winged Duck)
- Thambetochen chauliodous (Moa-nalo) imekwisha sasa
- Thambetochen xanion (Moa-nalo) imekwisha sasa