Bata-shimo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Bata-shimo |

|
| Uainishaji wa kisayansi |
| Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
| Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
| Ngeli: |
Aves (Ndege)
|
| Oda: |
Anseriformes (Ndege kama bata)
|
| Familia: |
Anatidae (Ndege walio na mnasaba na bata)
|
| Jenasi: |
Alopochen Stejneger, 1885
Centrornis†
Chloephaga Eyton, 1838
Cyanochen Bonaparte, 1856
Hymenolaimus Gray, 1843
Malacorhynchus Swainson, 1831
Merganetta Gould, 1842
Neochen Oberholser, 1918
Pachyanas†
Sarkidiornis Eyton, 1838
Tachyeres Owen, 1875
Tadorna Boie, 1822
|
|
Mabata-shimo ni ndege wa maji wa familia ndogo ya Tadorninae katika familia ya Anatidae. Mabata hawa ni katikati ya mabata wachovya na mabata bukini kwa ukubwa na kwa umbo. Wanaitwa mabata-shimo kwa sababu spishi nyingi hutaga mayai ndani ya shimo la mti au pango la sungura, mhanga n.k. Hula wanyamakombe, kaa, wadudu, nyungunyungu au manyasi, mimea ingine na mbegu. Wakiruka angani wanafanana zaidi na mabata bukini kuliko na mabata wachovya.
[hariri] Spishi za Afrika
[hariri] Spishi za mabara mengine
[hariri] Spishi za kabla ya historia
- Alopochen sirabensis (Malagasy Shelduck, Madagaska) - labda spishi ndogo ya A. mauritianus
- Centrornis majori (Malagasy sheldgoose, Madagaska)
- Pachyanas chathamica (Chatham Island Duck, Visiwa vya Chatham)
- Tadorna cf. variegata (Chatham Islands Shelduck, Visiwa vya Chatham)
-
-
-
-
-
-
-
-
Falkland flightless steamer duck
-
Magellanic flightless steamer duck
-
-
-
-