Baltasar and Blimunda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kasha la riwaya hii.

Baltasar and Blimunda ni Riwaya iliyoandikwa na mwandishi wa kireno José Saramago. mwaka 1987

Ni hadithi ya mapenzi iliyofanyika katika karne ya 18th, katika utengenezwaji wa Convert of Mafra sasa ikiwa ni moja kati ya vivutio vikubwa vya utalii vya nchini Ureno kama sehemu ya nyuma. Wapenzi wadogo wawili, wanakutana katika hali ya kihistoriaikiwa ni pamoja na mtunzi na harpsichordist Domenico Scarlatti na padri Bartolomeu de Gusmão, Aambye hii leo amekuja kufahamika mwanzilishi wa kama sayansi na ufundi.yote katika kivuli cha udadisi. Wapenzi wakati wote, wapo katikati ya hadithi hii, wakiumbwa kisanii katika Lugha ya kisanii ya Saramago, ambayo inaanzia katika sentensi fupifupi, zenye hakika na aya zizopangiliwa ambazo husaidia katika kuunganisha vitu kama vile matukio na muundo mzima wa Riwaya yote

Trivia[hariri | hariri chanzo]

Asili ya Jina hili katika lugha ya kireno linaweza kutafsiriwa katika lugha ya Kiingereza kama The Convent's Memorial, kama uti wa mgongo wa wazo na mjengo mzima.Baltasar na Blimunda ni kitabu chenye wahusika wawili