Bad Urach
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Bad Urach | |
| Nchi | Ujerumani |
|---|---|
| Jimbo | Baden Württemberg |
| Mkoa | Tübingen |
| Wilaya | Reutlingen |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 12,654 |
Bad Urach ni mji mdogo katika wilaya ya Reutlingen, Baden-Württemberg, Ujerumani. Iko kwenye bonde la mto Erms kilomita kumi na nne mashariki ya Reutlingen na inajulikana kwa ajili ya mapumziko na kuogelea.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bad Urach kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |