Azimio la Dodoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Azimio la Dodoma ni makubaliano ya wanablogu wa Kiswahili wa Tanzania waliokutana jijini Dodoma kuhusu njia za kuendeleza blogu za wanablogu wa Tanzania kwa kuwa na maadili yanayoendana na utu, heshima, na kanuni za uandishi wa habari. Mkutano huo ulifanyika Aprili 7, 2006.

[hariri] Viuongo vya nje

Vifaa binafsi