Arhavi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya wakongwe wa uchezaji wa dansi wa mjini hapa

Arhavi ni mji na wilaya iliopo katika Mkoa wa Artvin milimani juu ya pwani ya mashariki mwa Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Arhavi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.