7 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Aprili 7)
| Mac - Aprili - Mei | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1498 - Vasco da Gama anafikia mji wa Mombasa katika safari yake kutoka Ureno kwenda Uhindi.
- 1655 - Uchaguzi wa Papa Alexander VII
Waliozaliwa [hariri]
- 1652 - Papa Klementi XII
- 1770 - William Wordsworth, mwandishi kutoka Uingereza
- 1786 - William Rufus de Vane King, Kaimu Rais wa Marekani (1853)
- 1915 - Billie Holiday, mwanamuziki Mmarekani
- 1944 - Gerhard Schröder, Chansela wa Ujerumani (1998-2005)
Waliofariki [hariri]
- 1972 - Abedi Amani Karume (Rais wa kwanza wa Zanzibar) alipigwa risasi
- 2012 - Steven Kanumba, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania