Apokrifa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Apokrifa (kutoka neno la Kigiriki ἀπόκρυφος, apókruphos, yaani "iliyofichika") ni jina linalotumika katika Ukristo kutajia vitabu ambavyo madhehebu husika hayavikubali katika Biblia.

Hivyo vitabu vilevile vinaweza kuwa vitakatifu kwa madhehebu kadhaa lakini si kwa mengine.

Lakini kuna vitabu vingine ambavyo vinatazamwa na Wakristo wote kuwa ni apokrifa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Vitabu vyenyewe

Commentaries

  • O. F. Fritzsche and Grimm, Kurzgef. exeget. Handbuch zu den Apok. des A.T. (Leipzig, 1851–1860)
  • Edwin Cone Bissell, Apocrypha of the Old Testament (Edinburgh, 1880)
  • Otto Zöckler, Die Apokryphen des Alten Testaments (Munchen, 1891)
  • Henry Wace, The Apocrypha ("Speaker's Commentary") (1888)

Introduction and General Literature:

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]