Antjie Krog
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Antjie Krog (amezaliwa 23 Oktoba 1952) ni mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa anajulikana kwa mashairi yake dhidi ya ubaguzi wa rangi.
Maandishi yake[hariri]
- Lady Anne (Mashairi, 1989)
Angalia pia[hariri]
Marejeo[hariri]
- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Antjie Krog kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |