Anthony Mwandu Diallo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anthony Mwandu Diallo (amezaliwa 25 Desemba 1956) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania la 2005-2010 akiwakilisha jimbo la uchaguzi la Mwanza Vijijini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]