Anthony Banzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Anthony Banzi (amezaliwa 28 Oktoba 1946) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Kardinali Polycarp Pengo mwaka wa 1994. Tangu mwaka huo, ni askofu wa Jimbo la Tanga.

Viungo vya nje [hariri]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anthony Banzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.