Analamanga
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Analamanga |
|
| Mahali pa Mkoa wa Analamanga katika Madagaska | |
| Anwani ya kijiografia: 18°56′S 47°31′E / 18.933°S 47.517°E | |
| Nchi | Madagaska |
|---|---|
| Wilaya | 8 |
| Mji mkuu | Antananarivo |
| Eneo | |
| - Mkoa | 16,911 km² |
| Idadi ya wakazi (2004) | |
| - Mji | 2.811.500 |
Analamanga ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,811,500. Mji mkuu ni Antananarivo.
Picha za Analamanga [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Analamanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|
|
|---|---|
| Diana | Sava | Itasy | Analamanga | Vakinankaratra | Bongolava | Sofia | Boeny | Betsiboka | Melaky | Alaotra-Mangoro | Atsinanana | Analanjirofo | Amoron'i Mania | Haute Matsiatra | Vatovavy-Fitovinany | Atsimo-Atsinanana | Ihorombe | Menabe | Atsimo-Andrefana | Androy | Anosy | |