Amur Oblast

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya mkoa wa Amur Oblast
Mahali pa Amur Oblast katika Russia

Amur Oblast ni jina la kutaja oblast ambayo ni mkoa ulioko nchini Russia. Eneo lake ni km² 361.913 na idadi ya wakazi ni 860.686 (mwaka 2011). Makao makuu yako mjini Blagoveshchensk.

Mkoa wa Amur uko katika kusini - mashariki ya Siberia mpakani wa China kando la mto Amur ulio mpaka mwenyewe.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Amur Oblast kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.