Amoron'i Mania
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Amoron'i Mania |
|
| Mahali pa Mkoa wa Amoron’i Mania katika Madagaska | |
| Anwani ya kijiografia: 20°06′S 46°24′E / 20.1°S 46.4°E | |
| Nchi | Madagaska |
|---|---|
| Wilaya | 5 |
| Mji mkuu | Ambositra |
| Eneo | |
| - Mkoa | 16,141 km² |
| Idadi ya wakazi (2004) | |
| - Mji | 693,200 |
Amoron'i Mania ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 693,200. Mji mkuu ni Ambositra.
Picha za Amoron’i Mania [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Amoron'i Mania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|
|
|---|---|
| Diana | Sava | Itasy | Analamanga | Vakinankaratra | Bongolava | Sofia | Boeny | Betsiboka | Melaky | Alaotra-Mangoro | Atsinanana | Analanjirofo | Amoron'i Mania | Haute Matsiatra | Vatovavy-Fitovinany | Atsimo-Atsinanana | Ihorombe | Menabe | Atsimo-Andrefana | Androy | Anosy | |