Ambon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Teluk_Ambon

Ambon ni kisiwa kikubwa cha Visiwa vya Maluku nchini Indonesia.

Eneo la kisiwa ni km² 775.

Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani ilihesabiwa kuwa 441,000.

Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Ambon vilevile.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ambon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.