Ali Tarab Ali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ali Tarab Ali (amezaliwa 20 Julai, 1947) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania tangu 2005. Alipata shahada ya udaktari katika mada ya biokemia kutoka chuo Kikuu cha Kharkov, Urusi, mwaka wa 1984.

[hariri] Chanzo

Vifaa binafsi
Lugha nyingine