Ali Mohamed Shein
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ali Mohamed Shein (amezaliwa 13 Machi 1948) amekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania tangu mnamo tar. 13 Julai ya mwaka wa 2001. Kiasili anatokea kisiwani Pemba, Shein ni mwanachama wa cha tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni daktari kitaaluma.
Viungo vya Nje [hariri]
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
| Alitanguliwa na Omar Ali Juma |
Makama wa Rais wa Tanzania 2001- |
Akafuatiwa na Aliomadarakani |
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ali Mohamed Shein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |