Alexis Carrel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alexis Carrel
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Alexis Carrel (28 Juni 18735 Novemba 1944) alikuwa daktari mpasuaji kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mkusanyiko wa vyembe mwilini (tishu) na mbinu za kuuhamisha. Mwaka wa 1912 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexis Carrel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.