Diskografia ya Christina Milian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Christina Milian

Diskografia ya Christina Milian ni orodha ya nyimbo na albamu za mwimbaji na mtunzi - mwigizaji kutoka nchini Marekani, almaarufu kama Christina Milian. Orodha hii imekusanya albamu zake tatu, zikiwa sambamba kabisa na single zake saba pamoja na nyimbo mchanganyiko za mwanadada huyu.

Albamu zake[hariri | hariri chanzo]

Albamu za studio[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Albamu Nafasi iliyoshika Mauzo/Matunukio
WW US UK FRA JP
2001 Christina Milian 23 19
  • BPI imetunukiwa: Platinamu
2004 It's About Time 31 14 21 83 11
  • Tunu za BPI: Silver
  • Mauzo ya US: 382,000
  • Mauzo ya UK: 60,000
2006 So Amazin' 27 11 67 123 9
  • Mauzo ya US: 163,000
  • Dunia nzima: 520,000

Kompilesheni zake[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Albamu Chati ilizoshika Mauzo/kutunukiwa
WW U.S. UK FRA JP
2006 Best Of 29
  • Dunia nzima: 38,078

Single zake[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Jina la single Chati iliyoshika Albamu
UWC U.S.[1] U.S. R&B U.S. Dance UK IRE AUS GER NET NZ SWI
2001 "AM To PM" 17 27 58 13 3 6 25 54 8 28 Christina Milian
"When You Look At Me" 22 3 5 7 13 3 31
2002 "Get Away"
2004 "Dip It Low" (akimshirikisha Fabolous) 12 5 16 1 2 11 31 17 7 7 11 It's About Time
"Whatever U Want" (akimshirikisha Joe Budden) 100 91 6 9 16 51 20 27
2006 "Say I" (akimshirikisha Young Jeezy) 19 21 13 4 4 15 25 38 74 23 23 So Amazin'
2008 "Us Against The World" TBA
Single Zingine
2000 "Between Me And You" (akiwa na Ja Rule) 11 5 26 48 Rule 3:36
2001 "It's All Gravy" (akiwa na Romeo) 4 Solid Love

Video zake[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Wimbo Waongozaji
2001 "AM To PM" Dave Meyers
"When You Look At Me" Billie Woodruff
2002 "Get Away" Little X
2004 "Dip It Low" Matthew Rolston
"Whatever U Want" Ray Kay
2006 "Say I"

Kazi zingine[hariri | hariri chanzo]

Albamu alizopata kuonekana[hariri | hariri chanzo]

  • 2000: "Between Me & You" ya Ja Rule- Rule 3:36
  • 2001: "Call Me, Beep Me (The Kim Possible Theme Song)" (akiwa na Christy Carlson Romano; kutoka katika Kibwagizo cha Kim Possible)
  • 2001: "Play" (alipiga sauti ya nyumba akiwa na Jennifer Lopez; kutoka katika J. Lo)
  • 2002: "I Hear Santa On The Radio" (kutoka katika albamu ya kwanza ya Hilary Duff ya Christmas na albamu moja ya "Santa Claus Lane")

Vibwagizo alivyopata kuonekana[hariri | hariri chanzo]

Mwonekano wake katika Tepu mchanganyiko[hariri | hariri chanzo]

Nyimbo alizopata ushirika wa kuzitunga[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Billboard.com - Artist Chart History - Christina Milian". Nielsen Company, Billboard magazine. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-27. Iliwekwa mnamo 2008-06-09. 
  2. 2.0 2.1 "Christina Milian". MTV. MTV Networks. Iliwekwa mnamo 2008-02-24. 
  3. "Paula DeAnda - Walk Away (Remember Me)". Music Videos and Lyrics - Music Lovers Group. Music Lovers Group.com. Iliwekwa mnamo 2008-02-24.