Agatha mfiadini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Agatha (jina hilo la Kigiriki lina maana ya "Mwema") alikuwa bikira wa Catania, Italia (230 - 251), aliyefia dini ya Ukristo.
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi, hasa tarehe 5 Februari.
Picha zake[hariri]
-
Ravenna, Basilica di Sant'Apollinare nuovo, Kesi ya Mabikira.
-
Mt. Agatha gerezani, Kanisa kuu la Catania.
-
Mt. Agatha alivyochorwa na Francisco de Zurbarán.
-
Kifodini cha Mt. Agatha.
-
Kifodini cha Mt. Agatha.
-
Kifodini cha Mt. Agatha kilivyochorwa na Giovanni Battista Tiepolo.
-
Masalia ya Mt. Agatha yanatunzwa katika kazi hii ya mwaka 1376.
Marejeo[hariri]
- Salvatore Consoli, Sant'Agata Vergine e Martire catanese, Catania 1973
- Adolfo Longhitano, Il culto di sant'Agata in Agata, la santa di Catania, Bergamo 1998
- Fortunato Orazio Signorello, Dalla Sicilia al Piemonte, in Agata, nobile e martire, Prospettive, Catania 1991
- Santo Privitera, Il libro di sant'Agata, Boemi editore, Catania 1999
- Gateano Zito, S. Agata da Catania, Gorle (GB) 2004
Viungo vya nje[hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Agatha mfiadini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |