Agarak, Meghri
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Agarak (Kiarmenia: Ագարակ) ni jiji lililoanzishwa mnamo mwaka wa 1949, kwenye mkoa wa Syunik huko nchini Armenia. Upo kwenye ukingo mto Araks katika mpaka wa nchi ya Iran, km 9 kutoka mjini kusini-magharibi mwa mji wa Meghri.
Tazama pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- Agarak, Meghri kwenye GEOnet Names Server
- Taarifa ya matokeo ya sensa ya wakazi kwa 2001 nchini Armenia
- World Gazeteer: Armenia – World-Gazetteer.com
| Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Agarak, Meghri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |