Agapiti Ndorobo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Agapiti Ndorobo (amezaliwa 14 Agosti 1954) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Polycarp Pengo mwaka wa 1995. Tangu mwaka huo, ni askofu wa Jimbo la Mahenge.

Kwa asili, Askofu Ndorobo ni Mrangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.