Nenda kwa yaliyomo

Aftonbladet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukurasa wa kwanza wa Aftonbladet, 1830.
Lars Johan Hierta, mwanzilishi wa gazeti.

Aftonbladet (kwa Kiswidi: "gazeti la jioni") ni gazeti la siku nyingi nchini Uswidi. Lilianzishwa mwaka 1830. Kwa sasa linamilikiwa na Schibsted, kampuni ya Norway (91%).

Waandishi wa habari

[hariri | hariri chanzo]