Africa Independent Television

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

[| BEN Television] Africa Independent ni televisheni ya setilaiti nchini Nigeria, na ulitokana na Da'ar Communications plc, inapatikana kote Afrika, na kupitia mtandao wa setilaiti sahani huko Amerika-Kaskazini. Katika Ufalme wa Uingereza inapatikana katika Sky TV kanal 187. Baadhi ya programu yake pia inapatikana katika Ufalme wa Uingereza kupitia [| BEN Television].


Kuna kanal iliyoongezeka iitwayo AIT Movistar, ambayo hutangazwa katika Sky TV kanal 330.


[hariri] Viungo vya nje

  • Tovuti Rasmi
  • AIT USA
  • Controversy Over Age, Cost of Presidential Jet by Rotimi Durojaiye - makala ambayo ilisababisha Durojaiye kukamatwa pamoja na Aruleba


Kigezo:Kanal za kimataifa za Habari

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine