Abdisalaam Issa Khatib

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdisalaam Issa Khatib (amezaliwa tar. 9 Juni 1940) ni mbunge wa jimbo la Makunduchi katika bunge la kitaifa tangu 1995 huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Abdisalam Issa Khatib". 10 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 

Viungo[hariri | hariri chanzo]